8.2. Matukio ya ushiriki wa jamii katika utekelezaji wa zoezi la utunzaji wa mazingira katika Wilaya ya Urambo
| Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Aggrey D. J. Mwanri akizindua zoezi la upandaji miti
Wilayani Urambo |
Katibu Tawala wa Wilaya ya Urambo Ndg. Paschal Byemelwa akikagua bustani ya Halmashauri ya Urambo
|
|
![]() |
Timu ya Wataalam wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo ikikagua bustani ya miti ya Kampuni ya Alliance One |
Timu ya Wataalam wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo ikikagua bustani ya miti ya Kampuni ya JTI |
![]() |
![]() |
Wananchi, Watumishi wa Halmashauri na Taasisi wakishiriki kupanda miti katika chanzo cha maji cha Kitongoji cha Kariakoo Mjini Urambo siku ya Mazingira Duniani tarehe 5.6.2018 |
Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo wakishiriki kufanya usafi wa mazingira ya ofisi za Mamlaka ya Mji Mdogo Urambo |
![]() |
![]() |
| Wanafunzi wa Shule ya Ukombozi Sekondari wakishiriki zoezi la usafi wa mazingira |
Afisa Misitu Wilaya ya Urambo Ndg. Nicholaus Masese akikagua shamba la miti la Ndg. Robert Kirunda lililopo sehemu ya Mapozeo kitongoji cha Mabatini Kata ya Urambo. |
![]() |
![]() |
Bomani Urambo
Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 30 Br ya Boma Stendi, S.L.P 170. 45582 Urambo Tabora
Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824
Simu ya mkononi: DED GRACE:0786821141
Barua pepe: ded@urambodc.go.tz
Copyright ©2025 Urambo . All rights reserved.