UTANGULIZI
Idara ya Elimu Msingi ilianzishwa mwaka 1975 baada ya Wilaya ya Urambo kuanzishwa. Idara ilianzishwa kwa mujibu wa Sheria Idara inatekeleza Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 yenye Dira ‘kuwa na Mtanzania aliyeelimika na mwenye maarifa, stadi, umahiri, uwezo na mitazamo chanya ili kuchangia katika kuleta maendeleo ya Taifa. Dhima ya Elimu ni ‘kuimarisha ubora wa Elimu na mafunzo na kuweka mifumo na taratibu zitakazowezesha kupata idadi kubwa ya Watanzania walioelimika na wanaopenda kujielimisha zaidi ili waweze kuchangia katika kufikia malengo ya Taifa letu.
WATUMISHI WA IDARA
Idara ina jumla ya Watumishi 765 kwa mchanganuo ufuatao:-
MAWASILIANO KATIKA IDARA YA ELIMU MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI
S/N |
JINA |
CHEO |
MAWASILIANO |
1
|
Asha A. Nkindwa
|
Afisa Elimu Msingi
|
0753 540 040
|
2
|
Severine Kapongo
|
Afisa Elimu Taaluma
|
0788 455 249
|
3
|
Gambalala M. Suga
|
Afisa Elimu Vifaa Na Takwimu
|
0787 669 043
|
4
|
Emmanuel E. Nkongolo
|
Afisa Elimu Vifaa Na Takwimu
|
0784 739 289
|
5
|
Masalu B. Washima
|
Afisa Elimu Vielelezo
|
0787 793 000
|
6
|
Colletha Hassan
|
Afisa Elimu Maalum
|
0686 673 920
|
7
|
John Kasunya
|
Afisa Elimu Vielelezo
|
0783 803 238
|
8
|
Rehema Masanja
|
Kaimu Afisa Michezo
|
0785 006 568
|
MAWASILIANO YA NGAZI YA KATA:
Ma afisa Elimu Kata |
|
Mawasiliano yao |
Walimu Wakuu wa Shule |
|
Mawasiliano yao |
HUDUMA
Idara inatoa huduma zote za kielimu kwa Wananchi wote wa Wilaya ya Urambo na nje ya Wilaya kwa muda wote wa siku za kazi Jumatatu hadi Ijumaa saa 1.30 asubuhi hadi saa 9.30 mchana.
Pia Idara ya Elimu Msingi inatoa huduma kwa wananchi zikiwemo
Bomani Urambo
Anunani ya posta: S.L.P 170
Simu ya mezani: 07322988305
Simu ya mkononi: 0769532059
Barua pepe: ded@urambodc.go.tz
Copyright ©2019 Urambo . All rights reserved.